Ujumbe wa Nyumba ndogo watumwa kwa Mama Mkwe- Ungejuwa wewe ungefanyeje?

Mwombe radhi ma mkwe na umwambie na ww umeforwadiwa na ba mkwe.
 
Asingempigia..,baada ya kuona msg imekwenda angetupa simu na laini afu unatafuta simu nyingine unampigia wife unamweleza simu imeporwa na vibaka kama masaa mawili yaliyopita sasa umenunua kasimu kengine kwa muda ili muwasiliane...hayo mengine ungewalaumu hao walikuibia simu kwa kukuchafulia jina kwa mkwe..
 

Ningekuwa mimi Ningezima simu ba ningerudi Fasta Home kuanza kulalamika kuwa nimeibiwa simu ili ionekane kuwa mwizi ametuma msg aikokujua!!!
Na kuweka mazingira ya kuwafahamisha ndugu wa karibu na kwa vyovyote habari zingemfikia hata huyo mkwe wake na kutoa/kupunguza hiyo aibu ya Mwaka!!!
 
Simple:

Amtumie wife wake kwanza. Then amtumie mama apology SMS kuwa alikuwa anamtumia wife bahati mbaya kachanganya namba lakini ameshamtumia wife tayari.
Duh! Bonge la move hapo, inaonesha uzowefu fulani wakujiokoa katika hatari...
 
Dah! Makubwa hayo
ana mke nyumba ndogo ya nn? Isingekuwa nyumba ndogo isingeenda kwa ma mkwe, ushauri angesimulia mke wake nakumwambia wakaangalia jins ya kumwambia mkwe wake wake
 
Hilo nalo neno, hakika kuna watu mabingwa wa kuvunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…