Mmh wewe, kwani sakayo hajaolewa tu!?Daah hata sijui niandike vipi kukuelezea naandika nafuta katika maisha kuna mazingira unaweza kukutana na mtu unajiuliza alikua wapi siku zote.
Naishkuru JF kwa kunipa rafiki aliye mwema kwangu nakupenda sakayo wangu Mungu azidi kukuweka una roho ya pekee pale ninapokusumbua wala hujal kabisa nikivurugwa na stress zangu lazima nikukimbilie kama nalia tunalia wote kama nikicheka tunacheka wote.
Mungu azidi kukutunza nije kucheza kwaito yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sakayo wa Transcend, shunie anakupenda munooooo [emoji8]
Nimewahiwa tayari, kwaito ni mwezi wa tisa mkuuMmh wewe, kwani sakayo hajaolewa tu!?
Nakupenda pia pacha wangu mimi apa nikikumbuka mwanzoni tunachat pm mpaka nacheka mwenyewe hapa [emoji23] [emoji23] hatumianiani jinsia zetu wenyewe kwa wenyewe [emoji85] [emoji85] eti au we meWoooooowwww
Sijui nisemeje mamy wangu, mdogo wangu wa dar, rafiki na mtoto wangu wa kwanza...... Najikuta tu machozi yanitoka mieee!!!!
Shunie wangu, Kivuruge wa Lee na shem ake T.... Nakupenda mpaka najionea wivu, sijajuta kukufamu wewe jamani. Rafiki yako ni rafiki yangu and I swear adui yako ni adui yangu namba moja....
Mungu akutunze mdogo wangu, najua kwaito utaicheza mpaka ulale ila tutaanza kwa Daby...
Shunie nakupenda saaana mpaka nashindwa kuelezea!!!!! Mungu mtunze pacha wanguu!!!!
Tumetoka mbali saaana jamani...Nakupenda pia pacha wangu mimi apa nikikumbuka mwanzoni tunachat pm mpaka nacheka mwenyewe hapa [emoji23] [emoji23] hatumianiani jinsia zetu wenyewe kwa wenyewe [emoji85] [emoji85] eti au we me
hivi kwaito ya bamdogo ipo kwani haijaota na mbawa kweli
huwa nafarijika sana pale mtu akinichokoza unakua upande wangu yaani hata sijui nikueleze vipi kuna kauli yako moja nikikusumbua kuhusu mambo yetu ukiniambia mdogo angu una moyo si wa nchi hii moyo wako mimi mwenyewe siuwezi [emoji134] [emoji23]Woooooowwww
Sijui nisemeje mamy wangu, mdogo wangu wa dar, rafiki na mtoto wangu wa kwanza...... Najikuta tu machozi yanitoka mieee!!!!
Shunie wangu, Kivuruge wa Lee na shem ake T.... Nakupenda mpaka najionea wivu, sijajuta kukufamu wewe jamani. Rafiki yako ni rafiki yangu and I swear adui yako ni adui yangu namba moja....
Mungu akutunze mdogo wangu, najua kwaito utaicheza mpaka ulale ila tutaanza kwa Daby...
Shunie nakupenda saaana mpaka nashindwa kuelezea!!!!! Mungu mtunze pacha wanguu!!!!
Hizo emoj veepee[emoji2] [emoji2]
hahahhaha ujue me ni me nikikumbuka unakumbuka ile siku ya kwanza tunatumiana picha ukanitisha kuhusu picha zangu mfyuuuuuTumetoka mbali saaana jamani...
Mie ni me ujue...., acha woga basi.
Daby lazima awowe tuu... Tucheze kwaito!!!!!
Thread ilianza vizuri ikaishia pabaya sana...Mungu azidi kukutunza nije kucheza kwaito yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sakayo wa Transcend, shunie anakupenda munooooo [emoji8]
Kuwa makini na ShunieWoooooowwww
Sijui nisemeje mamy wangu, mdogo wangu wa dar, rafiki na mtoto wangu wa kwanza...... Najikuta tu machozi yanitoka mieee!!!!
Shunie wangu, Kivuruge wa Lee na shem ake T.... Nakupenda mpaka najionea wivu, sijajuta kukufamu wewe jamani. Rafiki yako ni rafiki yangu and I swear adui yako ni adui yangu namba moja....
Mungu akutunze mdogo wangu, najua kwaito utaicheza mpaka ulale ila tutaanza kwa Daby...
Shunie nakupenda saaana mpaka nashindwa kuelezea!!!!! Mungu mtunze pacha wanguu!!!!
Wewe ndo jembeee langu Shunie, naanzaje kukutenga mie... Naweza ua mtu sababu yako mdogo wanguhuwa nafarijika sana pale mtu akinichokoza unakua upande wangu yaani hata sijui nikueleze vipi kuna kauli yako moja nikikusumbua kuhusu mambo yetu ukiniambia mdogo angu una moyo si wa nchi hii moyo wako mimi mwenyewe siuwezi [emoji134] [emoji23]
Ila we muoga balaahahahhaha ujue me ni me nikikumbuka unakumbuka ile siku ya kwanza tunatumiana picha ukanitisha kuhusu picha zangu mfyuuuuu