Mara ya mwisho kunitumia msg nzuri ni lini????Hivi unajisikiaje unaponizushia uongo lakini??
Mtake radhi haraka sana kadri uwezavyo..Naona ushalewa konyagi wewe...
Hilo ndilo kosa langu??Mara ya mwisho kunitumia msg nzuri ni lini????
Sipendi saaana bhana, kidogo tuukwahiyo dada leo unakana hupendi hela
Yaani haunioni au?? Na tunapishana tu majukwaani humu jf hii hii Yaani..Afu we ulikuwa wapi siku zote hizi?
Na mie naona bwanaakinguoni mwa babu
AsanteMi nakusamehe hata kabla hujanikosea
Mtake radhi haraka sana kadri uwezavyo..
HahahaYani lawama zote kwangu... kila kitu mbaya mimi...
Khaaa!!
Asprin niombe radhi. Konyagi naitolea wapi mie??Naona ushalewa konyagi wewe...
Hahaha
Badilika jamani babu ake Sakayo
Wanasemaga huwezi jua thamani ya kitu mpaka ukipotezehahahhh nifanyeje sasa kama bahati aliichezea mwenyewe
Asante shunie ake sakayoAsante Maserati tunawapenda we na lerato
Asprin niombe radhi. Konyagi naitolea wapi mie??
Cc Saint Ivuga [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asprin niombe radhi. Konyagi naitolea wapi mie??
Cc Saint Ivuga [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Utapata tuuNgoja namimi nitafute wa kumuandika, maana naona kapo zinazidi kunipita kimo...[emoji5] [emoji5] [emoji5]