Kikojoleo jamaniNi nini hiko chaziba
Me sijaomba shunie tumejikuta tupo wengiUmemshindwaje na wakati umekubali kushare au ndio yale naomba unisaidie kushare
Hapo umegusa sekta nyeti....We ziba tuu mwaya, ila ujue kikiziba na cha wifi chaziba pia
Haya bwana[emoji2] [emoji2] ni kweli usiitoe basi
Halafu siku hizi wamekuwa wengi sanaaa humu ndani
Sanaaa kama tupo fb sijui shida ni nini
Sijuii shiida ni nini hasa, ila ni kuwapuuza tu
Kwani kuna tatizo gani! Mbona sielewi?Kweli ni kuwapuuza tu ila ni tatizo kubwa sana kumchukia mtu humjui kabisa hata anavyofanania
Ni upuuzi uliopitiliza ujue
Lazma umtetee si ndo wale wale nduguTatizo moyo wako mdogo wewe
AiseeHahha jikazeee
Sawaa Kivuruge wa LeeUsiitoe bana nitakulilia
YaaniHahaha zaidi ya uchochezi