Sipendihahahahha basi siweki tena na hupendi emoj
Kama ni utani, angalia mnajikosesha bahati. Nina imani humu kuna waoaji na akijua kuwa una mtu anasepa. Hili ni angalizo la hapa JF kwa hasa dada zangu akina .......Tumetoka mbali saaana jamani...
Mie ni me ujue...., acha woga basi.
Daby lazima awowe tuu... Tucheze kwaito!!!!!
Hebu hapo unisaidiebabu vipiiiii umetokea wapi si ulimuacha ndg yangu na mambo yako mengi
Ufafanuzi tafazali... shkamoo itaitikiwa moyo ukiridhikaShkamo babu ake Sakayo
Nisamehe bure mimi si muaji maana nina kibamia msema kweli mpenzi wa mungu.na we muoaji kampelewele?
Babu Shunie ni mdogo wangu bhana...
Sio jukwaa langu... jukwaa lake.Babu Shunie ni mdogo wangu bhana...
Kwenye jukwaa lenu huko Siwezi kwenda kabisaa
Aaamenbabu niache nimeokoka siku hizi siingii kabisa halaf mume wangu hapapendi kabisa huko nimeacha kuingia
Basi wewe upo maungoni mwangu! Nitoe katika list ya waoaji afterall sijawahi kuona hata paja la mwanamke tangu nizaliwe sana sana naona mapaja ya akina Gigy wakiwa wanapapaswa na msando tu.muoaji bana soma vizuri