Nakupenda pia pacha wangu mimi apa nikikumbuka mwanzoni tunachat pm mpaka nacheka mwenyewe hapa [emoji23] [emoji23] hatumianiani jinsia zetu wenyewe kwa wenyewe [emoji85] [emoji85] eti au we me
hivi kwaito ya bamdogo ipo kwani haijaota na mbawa kweli