Nilijitahidi saaana na Mungu ni shahidikidume cha mbegu hivi ungemuweza kweli
Wivu sina ila roho inaumaHakika Mungu ni muaminifu, naamini kila kitu kitakuwa Sawa tu. Hamna linalomshinda... Tuombeane uzima kwa kweeli..
Usijali nitakutafuta
KakaKumbe hunipendi!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
JamaniiiiNilijitahidi saaana na Mungu ni shahidi
Yupo mbonaAmekimbia
Hahahahaa.... yani wewe.Acha tuu, uliniumiza sana we babu. Mungu ni shahidi
Umeona sasa
Ona sasa anavyovutwa mashatihuyo sakayo alimshindwa
Nakuonaa nakuonaaashindwaaa sina pepo mimi
Mi nna mashemeji wengi sana... nimejaaliwa kuwa na wadogo zangu watanashati ujueUmeona sasa
Kumbe ni shemeji yako
Nikizimia utanishika bhasiNtaenda kuscreenshot afu nikutumie alichofanya leo saa tisa alasiri...
Usije ukazimia lakini
Babu Umenishinda tabia ujueTena pepo lako ndio gumu kutoka kuliko mapepo mengine
View attachment 519761
Mi napenda nukushike wakati wowote. Sema tu we hutaki kunipa nafasiNikizimia utanishika bhasi
Unanisingizia vingi sana bhana...Babu Umenishinda tabia ujue
AminaMungu azidi kukubariki nakupenda sana
Heeehilo pepo la hela analo sakayo me sina kabisa naogopa hela za watu