Ujumbe wa siku

Ujumbe wa siku

zegamba180

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
820
Reaction score
541
"Hakuna dhambi mpya zote zilishafanywa. Sisi sasa tunagandamizia tu."
 
namhurumia anaezihesabu ataandika mpk vidole viote jipu
 
wanajua wenyewe ila hesabu zina wenyewe sasa we uwekwe kwenye kitengo cha kuhesabu wkt math yenyewe 0, hapo mwenye dhambi 5 atajikuta kaekewa 1000+
Ha ha ha ha ha ha ha ha, umetisha sana.
 
Mkuu umenikmbsha jamaa mmoja mwana geography Alisha wah nielezea kuhsu water cycle, sasa akadai eti.."hayo maji unayo weka kwny glass unaknya Na kujidai, tena unaweka had kweny flij walisha kunywa waskaji kibao miaka iliyopita"
 
Back
Top Bottom