zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 541
Hivi hata kwa dhambi za kurudufi bado tutachomwa?au waasisi ndio itawahusu,maana!"Hakuna dhambi mpya zote zilishafanywa. Sisi sasa tunagandamizia tu."
Waasisi watakuwa mbele sisi nyuma yao kwenye adhabu.Hivi hata kwa dhambi za kurudufi bado tutachomwa?au waasisi ndio itawahusu,maana!
Wanahesabu kwa vidole mkuu? Teh tehnamhurumia anaezihesabu ataandika mpk vidole viote jipu
wanajua wenyewe ila hesabu zina wenyewe sasa we uwekwe kwenye kitengo cha kuhesabu wkt math yenyewe 0, hapo mwenye dhambi 5 atajikuta kaekewa 1000+Wanahesabu kwa vidole mkuu? Teh teh
Ha ha ha ha ha ha ha ha, umetisha sana.wanajua wenyewe ila hesabu zina wenyewe sasa we uwekwe kwenye kitengo cha kuhesabu wkt math yenyewe 0, hapo mwenye dhambi 5 atajikuta kaekewa 1000+