Yawezekana Marehemu alikuwa Mzinzi na hiyo sms was "the last nail" kwenye JENEZA. Kama sms pekee inatosha kukatisha uhai wake mostly likely alikuwa akipewa pesa ya matumizi ndogo anaamua ku-supplement na waume za wanawake wenzie huko mitaani...
KUJIUA NI DHAMBI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Joyce Emmanuel [25] mkazi wa Tabata Kimanga amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya panya kutokana na ujumbe wa simu aliotumiwa na mumewe.
Mume wake alitumiwa ujembe huo na mtu asiyemjua na yeye akamtumia mkewe ,Ujumbe huo ulisomeka : Mwambie mkeo aache kutembea na waume za watu kama wewe humtoshelezi basi mtafutie mwanaume mwingine akusaidie lakini sio mume wangu ulimalizia ujumbe huo.
Source: Nifamishe