Nakazia dada maisha yenyewe mafupi sana leo tupo kesho hatupoWagombanao ndio wapatanao! Rafiki wa leo ni adui wa kesho na kinyume chake!
La muhimu ni kutambua sote tunapita tuu, vinyongo, chuki na fitina visitukoseshe mbingu. Yanapita tuu hayo, la mno ni kupendana na kuheshimiana na zaidi sana kuvumiliana!!
UmeonaeeeeNakazia dada maisha yenyewe mafupi sana leo tupo kesho hatupo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka huo mstari wa mwisho ngoja niangalie kama nitaweza kuacha tabia ya kukunywea na kutoa yangu ya moyoniUmeonaeeee
Tusiruhusu shetani atushinde...
Halafu wewe unatabia ya kuninywea
Hebu uache bwana, hujui tuu unavyonitishaga aki!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka huo mstari wa mwisho ngoja niangalie kama nitaweza kuacha tabia ya kukunywea na kutoa yangu ya moyoni
Nimejikuta nakuelewa zaidi ya ulicho kiandika.....Wakunyumba asante sana kwa ujumbe sasa naomba uanze kupatana na mm kwa nini upo hivyo lakini kosa langu ni nini
Heshima yako mkuu, ebu mwambie muhudumu akuongeze moja nitalipa mimi... tehteehhhWagombanao ndio wapatanao! Rafiki wa leo ni adui wa kesho na kinyume chake!
La muhimu ni kutambua sote tunapita tuu, vinyongo, chuki na fitina visitukoseshe mbingu. Yanapita tuu hayo, la mno ni kupendana na kuheshimiana na zaidi sana kuvumiliana!!
MmmhNimejikuta nakuelewa zaidi ya ulicho kiandika.....
Kuna ugomvi uliibuka hapa jamvini, mmoja wa wagimbanao akataka kukuingiza Na wewe kwenye ugomvi huo, Mungu ni mwema ulitumia hekima sana kujiepushaMaisha mfupi haya kuanza kuingilia maugomvi ya watu usoyajua hata yalipoanzia na wewe kuchukua nafasi ya kugombana na mwingine. Waache wanaogombana wagombane wenyewe maana siku wakipatana utabaki na aibu.
Pia wale tunaogombana na wenzetu tujaribu kutoa tofauti zetu. Tusijenyamaza milele na visasi kwenye mioyo yetu.
Nawatakia week njema inayoanza keshoView attachment 753706
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu tatizo hata nikamwambia niko nakunywa unaogopa unajua nakunywea dada angu kumbe nakupa taarifa tu ujueHebu uache bwana, hujui tuu unavyonitishaga aki!!
Umeonaeeee
Tusiruhusu shetani atushinde...
Halafu wewe unatabia ya kuninywea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka huo mstari wa mwisho ngoja niangalie kama nitaweza kuacha tabia ya kukunywea na kutoa yangu ya moyoni
Ohhhppppssssss....[emoji29] [emoji29]Hebu uache bwana, hujui tuu unavyonitishaga aki!!
Mdomo wangu umebaki wazi kama wa ushimenNimejikuta nakuelewa zaidi ya ulicho kiandika.....