[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teknolojia na MunguMi ushahidi wangu upo. Ogopa teknolojia ooh
Basi sijasoma hiyoAhadi nyingine aliitoa akiwa kalewa
Mi ushahidi wangu upo. Ogopa teknolojia ooh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi tuseme mtu alikuhack
Khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka dada mbona ndio nimetoka huko kuweka
Mmmh, hapana aisee.
Naendelea kusema siyo mimi, labda kuna mtu alini hack.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi tuseme mtu alikuhack
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali...
Maana nimetafuta wapi na wapi sijaona.
Nini jamani dada nimeshawekaKhaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah dude gani hizi emoji auHivi kuna darasa ya kujifunza hizi dude zina maanisha nini?
Maana kuna zingine zinanishindaga
Hahahah dude gani hizi emoji au
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Emoji eeh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha huwa siipendi hii emoji[emoji12][emoji12]Zilikuwa zinaniuzi sana zamani, ila hazikwepeki aisee.
Nilishazizoea tu, ingawa akiziweka mwanaume naona kama ajabu (sema mi naye ni old school).
Hahaha huwa siipendi hii emoji[emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi huwa hata sihangaiki kujiuliza zina mana gani, naona kama zote zinafanana tu.