Ujumbe Wangu Wa Leo Usiku

Ujumbe Wangu Wa Leo Usiku

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
7041aa9f-286f-45ec-afe7-6621cff58d4b.jpg
 
Ile comment kule kuhusu mikwaju ya Dunia imenichekesha sana na kutafakarisha

Dunia haihitaji watu lelemama 😄
Acha kabisa mkuu..
Kama upo mjini ndio utajua kabisa dunia haina huruma.

Wewe unamhurimia mlemavu, ila kuna viumbe vinamtapeli na kutajirika kupitia yeye, unaviombea vipate laana ila vyenyewe vinaongeza maghorofa, magari na majumba makali.
Utaishia kusema watakua na mwisho mbaya end of the day wewe ndo unakata moto kablda hata ya kuuona huo mwisho wao.
Hii dunia acha tu.
 
Back
Top Bottom