Acha kabisa mkuu..
Kama upo mjini ndio utajua kabisa dunia haina huruma.
Wewe unamhurimia mlemavu, ila kuna viumbe vinamtapeli na kutajirika kupitia yeye, unaviombea vipate laana ila vyenyewe vinaongeza maghorofa, magari na majumba makali.
Utaishia kusema watakua na mwisho mbaya end of the day wewe ndo unakata moto kablda hata ya kuuona huo mwisho wao.
Hii dunia acha tu.