tzjamani JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 995 Reaction score 31 Dec 23, 2010 #2 Asante mkuu, Swali: Unasema unampenda Mungu usiyemwona wakati hupendi jirani? Jibu: Mpende jirani kama unavyojipenda mwenyewe. Swali: Jirani yako ni nani? Mwenye hitaji/shida na adui? Usimtendee mtu mwingine kitu/baya ambacho wewe hupendi kufanyiwa
Asante mkuu, Swali: Unasema unampenda Mungu usiyemwona wakati hupendi jirani? Jibu: Mpende jirani kama unavyojipenda mwenyewe. Swali: Jirani yako ni nani? Mwenye hitaji/shida na adui? Usimtendee mtu mwingine kitu/baya ambacho wewe hupendi kufanyiwa