Ujume kuntu wa Julius Malema kwa yanayotendeka Aafrika Kusini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huyu jamaa huwa sipendi siasa zake haswa kwa jinsi hutajwa kuwa mfisadi, lakini msimamo wake huu nimeupenda, kwa wale lugha itawapa chenga, amewarai Wasouth waache kuelekeza hasira zao kusiko, kwa ndugu wa Kiafrika maskini wenzao ambao wanahangaika kwenye mishe za kusaka tonge ili kujikimu kimaisha.
Bali wafahamu utajiri umeshikiliwa na wazungu wachache ambao wamegoma kugawana nao, na wanalindwa na chama tawala.
-------------------------------------------

Japo pia sio poa kuchochea ghasia dhidi ya wazungu, ila ni vyema hao makachinja chinja wakajua kumtia kiberiti ndugu wa kiafrika hakutasuluhisha chochote maana hao hata walichoshikilia hakitimizi 0.1% ya utajiri wa nchi.

69582655_10162120480010262_8392685959778402304_n.jpg
 
Kama kuna watu wanaochochea kinachoendelea South Africa basi ni Viongozi wa kisiasa wa Upinzani.

Wakati wa Kampuni huwaambia Raia kuwa Wageni ndo wanachukua ajira zao.... Wakipewa nafasi ya kuongoza Watawafukuza Wahamiaji wote.
 
Hapo umekosea kulaumu upinzani, siku zote upinzani huelekeza lawama kwa serikali kwa kila pungufu la nchi, serikali ndio kiaina ili kuwapoza vijana huelekeza lawama kwa wageni japo kimya kimya.
 
Mbna wakenya humu JF mna kiswahili kizuri tuu tena cha kibongo kabisaa tofauti na nlivowazoea? Ila ukienda youtube, twitter yani hamna kitu kabsa kiswahili kibovu balaa eti mnaita kiswahili cha kenya kumbe ni broken swahili. Mi nahisi muwafundshe wenzenu huku kiswahili waache umama
 
Hawa wa JF tumewafundisha sisi na tunaendelea kuwafundisha lakini cha ajabu hawataki kwenda kuwafundisha wenzao [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna wakenya humu JF mna kiswahili kizuri tuu tena cha kibongo kabisaa tofauti na nlivowazoea? Ila ukienda youtube, twitter yani hamna kitu kabsa kiswahili kibovu balaa eti mnaita kiswahili cha kenya kumbe ni broken swahili. Mi nahisi muwafundshe wenzenu huku kiswahili waache umama
 
Mbna wakenya humu JF mna kiswahili kizuri tuu tena cha kibongo kabisaa tofauti na nlivowazoea? Ila ukienda youtube, twitter yani hamna kitu kabsa kiswahili kibovu balaa eti mnaita kiswahili cha kenya kumbe ni broken swahili. Mi nahisi muwafundshe wenzenu huku kiswahili waache umama
Bandiko lako hili limejaa makosa mengi ya kiuandishi, ina maana wewe mwenyewe una matatizo ya lugha hii adhimu hata kabla haujawaza kuwakosoa wengine, pili, humu tunamjadili Malema, wacha kuchepuka.
 
Huyu jamaa huwa sipendi siasa zake haswa kwa jinsi hutajwa kuwa mfisadi, lakini msimamo wake huu nimeupenda, kwa wale lugha itawapa chenga, amewarai Wasouth waache kuelekeza hasira zao kusiko, kwa ndugu wa Kiafrika maskini wenzao ambao wanahangaika kwenye mishe za kusaka tonge ili kujikimu kimaisha.
Bali wafahamu utajiri umeshikiliwa na wazungu wachache ambao wamegoma kugawana nao, na wanalindwa na chama tawala.
-------------------------------------------

Japo pia sio poa kuchochea ghasia dhidi ya wazungu, ila ni vyema hao makachinja chinja wakajua kumtia kiberiti ndugu wa kiafrika hakutasuluhisha chochote maana hao hata walichoshikilia hakitimizi 0.1% ya utajiri wa nchi.

69582655_10162120480010262_8392685959778402304_n.jpg
Huyu anaongea pumba tu..., mfumo wao wa kiuchumi upo vipi ? Ukitaka Ubepari basi ndio hivyo Inequality of wealth.., wenye nazo ni minority na wasio nazo ni majority..., sasa badala ya kuchukia mabepari wachukie ubepari...,

That's the bottom line with capitalism accumulation of wealth to the maximum.., peoples welfare is secondary....
 
Huyu jamaa huwa sipendi siasa zake haswa kwa jinsi hutajwa kuwa mfisadi, lakini msimamo wake huu nimeupenda, kwa wale lugha itawapa chenga, amewarai Wasouth waache kuelekeza hasira zao kusiko, kwa ndugu wa Kiafrika maskini wenzao ambao wanahangaika kwenye mishe za kusaka tonge ili kujikimu kimaisha.
Bali wafahamu utajiri umeshikiliwa na wazungu wachache ambao wamegoma kugawana nao, na wanalindwa na chama tawala.
-------------------------------------------

Japo pia sio poa kuchochea ghasia dhidi ya wazungu, ila ni vyema hao makachinja chinja wakajua kumtia kiberiti ndugu wa kiafrika hakutasuluhisha chochote maana hao hata walichoshikilia hakitimizi 0.1% ya utajiri wa nchi.

69582655_10162120480010262_8392685959778402304_n.jpg
Mkenya unaandika Kiswahili nyoofu hivi
 
I watched the video of Malema's reaction and I couldn't help but think that the bugger sounds dumb AF regardless of the message. Eti Nicherians are Sout efricens, and we are zimbembweans. [emoji1]
 
Back
Top Bottom