MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Huyu jamaa huwa sipendi siasa zake haswa kwa jinsi hutajwa kuwa mfisadi, lakini msimamo wake huu nimeupenda, kwa wale lugha itawapa chenga, amewarai Wasouth waache kuelekeza hasira zao kusiko, kwa ndugu wa Kiafrika maskini wenzao ambao wanahangaika kwenye mishe za kusaka tonge ili kujikimu kimaisha.
Bali wafahamu utajiri umeshikiliwa na wazungu wachache ambao wamegoma kugawana nao, na wanalindwa na chama tawala.
-------------------------------------------
Japo pia sio poa kuchochea ghasia dhidi ya wazungu, ila ni vyema hao makachinja chinja wakajua kumtia kiberiti ndugu wa kiafrika hakutasuluhisha chochote maana hao hata walichoshikilia hakitimizi 0.1% ya utajiri wa nchi.