Ujuzi,elimu,na uzoefu juu ya akina mama kujifungua salama unahitajika

Ujuzi,elimu,na uzoefu juu ya akina mama kujifungua salama unahitajika

gumboot

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
263
Reaction score
93
Habari wanajamvi,

Wapendwa wana MMU,hebu wenye uzoefu na uzazi tupeane elimu ushauri pia,miaka hii uzazi hasa wakati wa kujifungua wamama wengi wamekuwa wakifanyiwa operation na hata kupoteza maisha.Japo tendo lenyewe linajulikana kama natural process kwa baadhi ya watu ila failure pia inachukua nafasi kubwa.Hebu tusaidiane ili kuweka familia zetu sawa.
 
Unahitaji nini hasa?kujua namna ya kusaidia kinamama wajifungue kwa njia ya kawaida?
 
Unahitaji nini hasa?kujua namna ya kusaidia kinamama wajifungue kwa njia ya kawaida?

nadhani swali lipo hapo, yaan kinamama wale chakula gani, wafanye mazoezi ya namna gani na wafanye vitu gani vingine ili kurahisisha zoezi la kujifungua kwa kawaida.
 
Back
Top Bottom