Ujuzi mdogo wahudumu wa DStv

Ujuzi mdogo wahudumu wa DStv

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Wakuu bila shaka ukiacha wakazi wa Dar wengine wote MMEOGA.

Kuna kitu kimenishangaza sana.Nililipia kifurushi Dstv lakini Channel hazikufunga ndani ya siku 9.Kila nikiwasha TV yangu nilipokea ujumbe huu THIS CHANELL IS BLOCKED BECAUSE IT MAY NOT BE PART OF YOUR PACKAGE (mwisho wa kunukuu).

Nilipiga simu Huduma kwa wateja kila siku ndani ya siku zote hizo 9 sikupata huduma yeyote, mmoja atakwambia.

Zima TV then uwashe tena

Mwingne mara zima Decoder yako washa tena

Mwingine ananiambia angalia upande wa signal

Yaani kiufupi ndani ya siku tisa nmehudumiwa wateja kama 13 wote hawaelewi kitu wanatakiwa kufanya.

Mwisho leo ndo nimepiga simu akapokea mdada nmemtajia namba ya kadi ndani ya sekundi tu ashatatua tatzo.

Nmebaki najiulza huyu dada kasoma nje ya Nchi au vipi?Mbna yupo tofaut na wengine?kwanini DSTV wasiajiri watu competent kama huyu?

DSTV punguzeni wahudumu VILAZA(wakubahatisha)wateja wenu tuna mambo mengi.
 
Akhsante tumelipokea ombi lako
Tutalifanyia kazi
hao wahudumu VILAZA watafurushwa kazi mara moja kisha watalipwa mishahara yao ya miezi 3
 
Back
Top Bottom