Ujuzi na biashara ya kutengeneza viatu na sendo za ngozi

Ujuzi na biashara ya kutengeneza viatu na sendo za ngozi

Emlth

Senior Member
Joined
Jan 26, 2022
Posts
128
Reaction score
193
Habari zenu wakuu humu ndani.

Kiufupi naomba kufahamu nikihitaji kujifunza kutengeneza bidhaa za ngozi kama viatu na sendo inaweza chukua muda gani, na endapo nikihitaji kuwa na ofisi angalau ya kuweza kutengeneza bidhaa 30 iwe viatu au sendo mtaji wa vifaa vyote vinavyohusika walau niwe na shingapi?

Napatikana tunduma, karibuni kwa msaada.
 
Ungekuwa Dar pale Machinga Complex ndio wamejaa makundi wa kutengeneza hizo sandals, Sasa upo Tunduma tafuta mafundi wa huko huko.
 
Achana na huko watu wanatembea sana peku, njoo Dar upambanae
 
Back
Top Bottom