Ujuzi, uelewa, busara na mawazo yako ya kimantiki ndo mahala pake hapa...

Ujuzi, uelewa, busara na mawazo yako ya kimantiki ndo mahala pake hapa...

yakiti's son

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Habari zenu wadau wa jf wakubwa shikamoni na wadogo wenzangu mambo vip? najaribu kutafuta data za kutosha kuhusu post za advance kwa kidato iv 2012 lakini bado sijapata data sahihi sasa naombeni wana jf kama great thinkers hiv hiz post zinatok lini?
 
Mkuu una bahati leo umekuja kwa heshima sio kama siku zile ulivyoandika kama tupo fesubuku bhana.

Post za Advance bado hakuna tarehe specific kuwa ni lini lakin jana result slip zimeanza kutolewa na sasa zinapatikana mashuleni, But kuhusu post tegemea mwishoni mwa wiki ijayo.
 
Zitatoka muda wowote kuwa na subira mkuu kama creadit zako zinakuruhusu kwenda kidato cha tano basi nafasi yako ipo tu kuwa na moyo wa kusubiri zikitoka utaziona.
 
Back
Top Bottom