Ujuzi wako ndo sehemu yake hapa..

yakiti's son

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Npen ma full informatn na data za kutosha kuhxu poxt za advnc 2013 kwa 4m4 2012 na rexult clp mana mwez ndo unakatka hvyo 2shakata 1/2 ya mwez na shul ndo wa 7 xo hii wzara haijui kuna maandalz au wnataka ku2lipia gharama zote nn wac2zngue bhana..!
 
Kujifanya wa kisasa, utashindwa hata kupata msaada,
Kwa taarifa huo sio ukisasa ni ujinga maana hujui aina ya watu unaowafikishia ujumbe.
 
Npen ma full informatn na data za kutosha kuhxu poxt za advnc 2013 kwa 4m4 2012 na rexult clp mana mwez ndo unakatka hvyo 2shakata 1/2 ya mwez na shul ndo wa 7 xo hii wzara haijui kuna maandalz au wnataka ku2lipia gharama zote nn wac2zngue bhana..!

Mkuu facebook una marafiki wangapi?
 
Taarifa ninazo lakini kwa mtindo huo wa uandishi siwezi kukupatia..!
 
Mburula wee...!nenda kamuulize mama ako aliekuharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…