UK Gov. confirms 9 in every 10 COVID Deaths over the last year have been among the Fully/Triple Vaccinated

Msukule wa Magufuli bana, unaokota propaganda mtandaoni ili kuthibitisha mungu wako wa chato alikuwa sahihi? πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbona Samia na wakuu wa majeshi na watumishi wa serikali hawajafa? Mbona covid sasa hivi imeisha? Nini kimeimaliza kama sio chanjo?
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mi mwenyewe mbona sijachanja na sijafa? Wala sijawah ata kulazwa kisa Covid?
 
Misukule ya mungu mtu wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…