Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Wanaona aibu kuwaiga WaafrikaSi waseme tu "NO LOCKDOWN" wanazunguka zunguka sana.
Wanaona kama Tanzania tumewaaibisha sana.wanaona aibu kuwaiga waafrica
Wamejifunza toka kwetu, ila siye tuko makini sana na makamasi na mate, siyo kama wazungu wachafu sana, wanafuta makamasi na mikono kisha wanahudumia watu vyakula na vingine. Nipo Uk kila siku natiwa kinyaa sana.Wamechukua ushauri wa Magufuli
Lockdown imewakung'uta hadi wanatafuta jinsi ya kuiepa ingawa Covid-19 bado ipo. Si waendelee kukaa ndani basi?Si waseme tu "NO LOCKDOWN" wanazunguka zunguka sana.
Wakenya watafata hii huku wakisema Uingereza imesema wakati jilan yake Tanzania alishasema mda ila mawazo ya kitumwa yamewaponzaWanaona kama Tanzania tumewaaibisha sana.
It is not confirmed by WHO yet, it was not confirmed by anyone till now the UK did so. WHO and all the rest been insisting the danger of spreading to everyone, the danger of dying for everyone.Masi Lambo,
Is this new information unknown to the scientific world? It has been confirmed that only a very small portion succumbs to the virus! Majority is self subsiding infection. Majority are infected but a few die/show even symptoms etc.