AustinNdyetabula
Member
- Oct 11, 2014
- 13
- 4
Heri ya krismasi wanajukwaa wenzangu!
Mimi ni mwananfunzi wa sekondari na niko mwaka wangu wa mwisho wa A-levels(ninasoma an international equivalent of the Tzian A-levels; IB).
Nimekuwa nikiifuatilia hii forum ya sheria kwa kina sana, na ningependa kuwashukuru kwa kuumpa mwanafunzi huyu motivation ya kusoma sheria kama undergraduate. I am at a point in my studies ambapo inabidi nianze kufikiria vyuo vya kusoma.
Given the international qualifications nitakazoachieve, nimekuwa exposed to vyuo vingi vya kimataifa, lakini ambapo nimepapania ni Uingereza. Swali langu ni hili, Je nikisoma LL.B ya uingereza, katika university of good standing, nitaweza kurudi Tanzania na nikaajiriwa?
Asanteni.