UK to sign deal to send asylum seekers to Rwanda for processing

Wanaoomba ukimbizi Uingereza watapelekwa Rwanda wakati maombi yao yanafikiriwa. Serikali ya Rwanda itapokea £120m kwa maandalizi ya makazi na huduma za wakimbizi hao.
 
Tanzania pamoja na kujiaminisha ni nchi ya amani mbona deal kama hizi zinatupiga chenga?🤔
 
Wanaoomba ukimbizi Uingereza watapelekwa Rwanda wakati maombi yao yanafikiriwa. Serikali ya Rwanda itapokea £120m kwa maandalizi ya makazi na huduma za wakimbizi hao.

20220414_152920.png
 
Kagame aangalie sana hili swala, ni tamu sana ila ndilo linaweza kua ndio mwanzo wa mwisho wa utawala
 
Back
Top Bottom