Ukabaji wa Rejareja jioni jioni umekithiri jijini DSM

Ukabaji wa Rejareja jioni jioni umekithiri jijini DSM

Cheology

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
384
Reaction score
601
Hapa ieleweke si Ile hali ya kuvamiwa, ni umekaa amepora amesepa, na akikulia timing anakuumiza.

Si ishu tu ya uhitaji wa sungusungu akili zichanganywe katika level ya kufikir nje ya box.

Wengi hawajui level of crimes, baadhi ya nchi ulimwenguni hakukaliki kutokana kiwango kilichopitiliza wizi,ukabaji na uuaji(mauaji).

Police department has a little duty here.

Tushauriane na ikiwapendeza wanausalama wetu wachukue ushauri.

Nadhani ni vzr Sasa askari wetu wapite mara kwa mara mitaani hasa maeneo yanayotajwa Sana.

Paul makonda anamuacha Kwa mbali Sana huyu mkulu wa Jiji. Sasa hivi hata shida ikitokea Huna wankuwasikiana nae. Hapa wengi mnajua Haina haja yakusema mengi. Wa kumpigia simu una dharula aje hakuna. I swear.

Hili eneo lipo kimyakimya lkn limeathirika Sana.

Screenshot_20220629-224625.jpg
 
Yote hayo ni Sera mbovu za CCM
Kila kitu sio ccm labda kwenye mambo yenu wanasiasa... Inatakiwa na vyama vyote vishirini haya mambo...mbunge madiwani nk Wanawajibika kwenyhaya ccm ni mwamvuki na kila mtu anaweza akajificha
 
Back
Top Bottom