Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

unajua sana ndugu....big up
 
wachaga walianza kuendelea ndo chanzo cha wao kuzaga kwenye taasisi nyingi za serekali mshana jr ebu njoo utupe mambo kidogo kuhusu wachaga walitakaga uhuru wao na bendere yao walishaitambulishaga itambulisha sema walizidiwa kete na jk nyerere
 
Kuna wakati tulikuwa na mijadala kama hii. Leo hii ni kushambulia vyama tuuuuu! Mwelekeo wa ukabila unavuma kwingine sasa!
 

Wow!!!

Nimependa sana hapo Nyerere alipozungumzia kuhusu ukabila!

Hayo maneno hata sasa yako relevant sana!
 
Nyerere atasalia kuwa raisi Bora kuwahi kuongoza Tanzania Pamoja na mapungufu ya kibinadamu aliyokuwa nayo.
 
Kwa sasa ubaguzi si kuyapendelea hayo makabila bali kuwashusha chini wakionekana kuwa walishafaidi sana so sasa ni zamu ya makabila mengine.Inasemwa sasa hivi hata mpaka kwenye tenda za serikali jina km shirima,lyimo likionekana linatupwa mapema tu. Tumemsikia rais anazungumzia maendeleo ya sekta ya utalii akasema kaskazini watasubiri kwanza nakumbuka alikua Iringa . Wote huu ni ubaguzi. Sasa hivi kuna mapambano makubwa sana kuyashusha haya makabila chini hasa Wachaga wamekuwa ndio wahanga wakubwa.Hata elimu ya juu kujiita masawe au mwakipesile ni risk. Na sasa hivi ubaguzi umeenda mbali zaidi hadi kikanda. Utasikia watu wakihoji je rais ni wa kanda ya ziwa pekee au inakuwaje. Au watu wa kaskazini ni wabaguzi au wanapendelewa.
 


..
Mzee wa kijiji...umewleza vzr na kwakuongezea vyakula vyautotoni vinachangia sn kua najamii yenye akili ....angalia hayo maeneo yote suala la vyakula vyenye rutuba zote Vinapatikana...
Pili tangu alipokuja mkoloni wakristo walipewa kipaombele chaelimu wkt iliuweze ingia kwenye mfumo waelimu enzi hizo lazima ubadili dini kwa waislam....
Na tatu...wazazi wamaeneo hayo walikwisha ona umuhimu wa kwenda shuleni tangu muda mrefu bandio mana kuna maeneo kuna maprof wengi kuliko sehemu nyingine...
 
Kuna mtu wa kanda ile nakumbuka kumsikia akishangilia na kutamka kwa furaha "ZAMU YETU SASA IMEFIKA NI LAZIMA NASI TUFAIDI NCHI HII" Nakubali wanafaidi, DAB ukimgusa tu imekula kwako. Huo ni mfano tu. Waliposema CDM ni ya kikabila wanarusha mabomu kama Hitla aliyetaka abakie Mjerumani tu duniani. Siasa ni vita awamu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…