Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Rangi uliyotumia kuandikia INAUMIZA MACHO
 
Well said Mkuu
 
Sikuhizi kabila nyingi tu zipo juu kila mtu anasoma sikuiz

Na nchi saivi iko Kanda ya Ziwa
Kutesa ni kwa zamu
 
Zamani kulikuwepo great thinkers aswa
 
Ulionekana kuisema sehemu fulani kweye thrd hii. Kwamba sababu hizo bado zipo? Kwamba sasa hata kwenye siasa, kuna chama ni cha kabila moja na wengine wamekribishwa?
 
day ukikosa vya kupost Bora 🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐
 
day ukikosa vya kupost Bora 🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐
Naona unafukua makaburi. This thread dates way back 2007 during former JAMBO FORUMS, when JF was in its infancy stage!
 

Dah... Invokafti Munisi akaja kuchukua u-TO (best student) wa UDSM 2013.
Akamkimbiza Aude Kileo na marehemu Frank Shega.
 
Ni siku nyingi lakini kuna wakati tunalazimika kusema. Mfano wako wa uzoefu wa mika 30, 10, 5, nk. hauna maana sana! Kuna vigezo vya ziada yabidi uviangalie pia. Uzoefu wa mwaka mmoja unatofautiana na ule wa miaka 10 lakini siyo lazima uzoefu wa miaka 30 utofautiane na miaka 10. Ukitaka kisingizio cha upendeleo, utatumia vigezo dhaifu kama hivyo, lakini ni upuuzi kujaza kabila moja kwa kujidai eti sifa na uzoefu mkubwa wakati kihalisia utendaji hautofautiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…