UKABILA : Kipindi cha masapta sapta (mashindano) yanapendelea watu wa kaskazini

UKABILA : Kipindi cha masapta sapta (mashindano) yanapendelea watu wa kaskazini

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Niliangalia jinsi wapishi wa Mtwara, Lindi, Morogoro walivyokuja na vitu asilia nikaangalia promo anayoitoa chef cook Mr Urio ,nawahakikishia mshindi wa kwenda South Africa kati ya wanne wawili au zaidi watatoka KASKAZINI .
 
Kwa Mtwara kama hapakuwa na panya hakuna chakula cha asili hapo, ingekuwa kwa Wahehe bila 🐶 hakuna chakula cha asili hapo
 
Kaskazini alikua mmoja tu walioingia fainali..(niliwaona pale chuo cha utalii)
 
Mwanaume unafatilia mapishi ya nini? Umekosa kabisa Vipindi bora?
 
Kuna mmama mmoja alipika wali na samaki wa kupaka kutoka kilwa ni hatari sijuwi kama yumo.
 
Back
Top Bottom