The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Sep 20, 2019 #1 Niliangalia jinsi wapishi wa Mtwara, Lindi, Morogoro walivyokuja na vitu asilia nikaangalia promo anayoitoa chef cook Mr Urio ,nawahakikishia mshindi wa kwenda South Africa kati ya wanne wawili au zaidi watatoka KASKAZINI .
Niliangalia jinsi wapishi wa Mtwara, Lindi, Morogoro walivyokuja na vitu asilia nikaangalia promo anayoitoa chef cook Mr Urio ,nawahakikishia mshindi wa kwenda South Africa kati ya wanne wawili au zaidi watatoka KASKAZINI .
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 8,118 Reaction score 13,547 Sep 20, 2019 #2 Kawaida yao hao!
Juuchini JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 1,644 Reaction score 2,300 Sep 20, 2019 #3 Maneno ya wakosaji!
T The Elephant JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 4,342 Reaction score 4,614 Sep 20, 2019 #4 Kwa Mtwara kama hapakuwa na panya hakuna chakula cha asili hapo, ingekuwa kwa Wahehe bila 🐶 hakuna chakula cha asili hapo
Kwa Mtwara kama hapakuwa na panya hakuna chakula cha asili hapo, ingekuwa kwa Wahehe bila 🐶 hakuna chakula cha asili hapo
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Sep 21, 2019 #5 Kaskazini alikua mmoja tu walioingia fainali..(niliwaona pale chuo cha utalii)
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,685 Reaction score 12,000 Sep 21, 2019 #6 Mwanaume unafatilia mapishi ya nini? Umekosa kabisa Vipindi bora?
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Sep 21, 2019 #7 Kwani Kaskazini ni Togo?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 21, 2019 #8 Ngoja tuone... Cc: mahondaw
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Sep 21, 2019 Thread starter #9 Mikocheni Junction said: Mwanaume unafatilia mapishi ya nini? Umekosa kabisa Vipindi bora? Click to expand... hili jukwaa umekuja kufuatilia nini? uteuzi mpya wa mabalozi? ukiwa mzee utakuwa mchawii
Mikocheni Junction said: Mwanaume unafatilia mapishi ya nini? Umekosa kabisa Vipindi bora? Click to expand... hili jukwaa umekuja kufuatilia nini? uteuzi mpya wa mabalozi? ukiwa mzee utakuwa mchawii
M Mtimkavuorg JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 655 Reaction score 527 Sep 21, 2019 #10 Yl aliyepika embe,na vitu vya baharini km konokono niliwapenda
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,784 Reaction score 13,642 Sep 21, 2019 #11 Kuna mmama mmoja alipika wali na samaki wa kupaka kutoka kilwa ni hatari sijuwi kama yumo.
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Sep 21, 2019 Thread starter #12 Chupayamaji said: Kuna mmama mmoja alipika wali na samaki wa kupaka kutoka kilwa ni hatari sijuwi kama yumo. Click to expand... hakupita hakuwa mangii
Chupayamaji said: Kuna mmama mmoja alipika wali na samaki wa kupaka kutoka kilwa ni hatari sijuwi kama yumo. Click to expand... hakupita hakuwa mangii