Usije Uchaggani. . .tunatoshana wenyewe na Wasukuma. Huko kwingine we nenda tu.
Usije Uchaggani. . .tunatoshana wenyewe na Wasukuma. Huko kwingine we nenda tu.
Naomba ushauri ktk makabila haya,,chagaz,nyakyusa,waha en wahaya nmeambiwa nisithubutu kuoa btn them coz all of them are the money oriented,my family warned me although they are btful na wanajua utafutaji kujishugulisha kiuchumi,,, wat can I do!!! Coz am in love wit one among them
Na wewe una Msukuma wako?
luk man....hizo traits ni kweli na hivyo a clever man will take those into consideration wakati wakufanya maamuzi. wewe jiulize je mie ninaweza ishi na mtu anayependa pesa sana? asikudanganye mtu hivi vijitabia vya makibila vitajitokeza tuu katika maisha ya ndoa so bora ilijue hilo mapema. mie personally sipendi watu wanaopenda hela nataka mtu anayeheshimu hela. so mie makabila haya ni no no!!!!
I love you Lizzy.
sina, ooops
kumbe siulizwi mie.
Hujambo lakini?
Nnae. .
We ushapata Mchagga wako?
Me too am a sukuma,,,