Kwa habari zinazo zagaa mitaani Naibu Makamu Mkuu wa Chuo SUA (DVC-AF) anayetakiwa kumaliza muda wake wa kazi Mwishoni mwa mwezi Novemba 2014 ataendelea kukalia kiti hicho kwa miaka mingine miwili kinyemela. Tetesi zinasema Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho ambaye ni home boy wa mkuu huyo, ameamua kuchunia kuunda kamati ya kutafuta kaimu mwingine ingawa anajua home boy wake ana mwezi tu kumaliza muda wake. Tetesi zinasema bila baraza la chuo hicho kuunda kamati hio au kutoa jukumu hilo kwa seneti ya chuo hicho kuunda kamati hio, mkuu huyo anae maliza muda wake ataendelea kuwa madarakani mpaka hapo mwingine atakapoteuliwa.
Ngoja tusikilizie. Waswahili wanasema "lisemwalo lipo, kama halipo li njiani linakuja"
Ngoja tusikilizie. Waswahili wanasema "lisemwalo lipo, kama halipo li njiani linakuja"