Ukabila kuchelewesha mabadiliko SUA

Gmsechu

New Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
1
Reaction score
1
Kwa habari zinazo zagaa mitaani Naibu Makamu Mkuu wa Chuo SUA (DVC-AF) anayetakiwa kumaliza muda wake wa kazi Mwishoni mwa mwezi Novemba 2014 ataendelea kukalia kiti hicho kwa miaka mingine miwili kinyemela. Tetesi zinasema Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho ambaye ni home boy wa mkuu huyo, ameamua kuchunia kuunda kamati ya kutafuta kaimu mwingine ingawa anajua home boy wake ana mwezi tu kumaliza muda wake. Tetesi zinasema bila baraza la chuo hicho kuunda kamati hio au kutoa jukumu hilo kwa seneti ya chuo hicho kuunda kamati hio, mkuu huyo anae maliza muda wake ataendelea kuwa madarakani mpaka hapo mwingine atakapoteuliwa.

Ngoja tusikilizie. Waswahili wanasema "lisemwalo lipo, kama halipo li njiani linakuja"
 
kwanza tusubiri tuone, maana muda wake haujaisha bado kwa maelezo yako!Ni mapema mno kuhukumu kwa sasa!
 
Tetesi is one thing. Naamini Balozi Yuko fresh na anajua Kazi yake hawezi anguka kwenye ukanda.

I stand to be corrected
 
Na wewe umeliona hili duu, niliwahi dokeza utendaji pale ulivo nadhani kuna ndugu mtu hapa jamvini alinibeza eti tafiti ipi nimetumia!? Haya wadau tunasikilizia
 
Hilo nililisikia kwa kachaa wangu aliyetoka hapo jana ni mwaka!! Napita tuu langu jicho wadau!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…