Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Pamoja na kufanya uchaguzi kwa amani lakini dosari kubwa ktk uchaguzi wa Kenya ni ukabila. wananchi wengi wamepiga kura kwa kuangalia makabila yao badala ya sera za wagombea.

Uhuru Kenyatta anaongoza kwa kura hadi sasa kwa kuwa tu anatoka kabila la Wakikuyu ambao ni wengi kuliko kabila jingine. Raila Odinga kabila lake la Wajaluo si kubwa kuweza kumuunga mkono na kushinda.

Mzee Jommo Kenyatta ambaye anadaiwa kupalilia ukabila nchini humo kwa kuwabeba Wakikuyu aliwahi kunukuliwa akisema "Jaluo Jinga Jeusi haiwezi ongoza Kenya"
Na hicho ndicho kinachomcost Odinga. KILA LA HERI KENYA.
 
Wajaluo wanajulikana Kenya kwa kuwa na akili za kuzaliwa kuliko makabila mengine Kenya. Baba wa Obama naye alikuwa Mjaluo. Wanapenda wanawake sana na wenyewe pia wana ubaguzi hivyo sio kabila moja bali kuna ukabila kwa makabila yote kasoro makabila ya mpakani mwa Tanzania kama Masai na Taita ambao wametoka Tanzania. Wataita na wapare ni watu hao hao hata kiswahili na wanavyoonekana ni kama Watanzania
 
Magari ya M4C yaliyokwenda kumsaidia ODINGA hayajarudi? Hii dhambi ya kuwasakizia wengine kuwa wanaeneza ukabila ndiyo itakayowatafuna hata hawa wachagga wetu, subirini tu 2015 na sera yao ya umajimbo kmbe inatumika tu kama kufuniko, lengo hasa ni kutaka kuutukuza ukaskazini, kwishne Odinga bado Ninyi. Hayo magari yenu sijui mtayapitishia wapi?
 
"Ukabila ni dosari ndogo ndogo". Hujasikia watu hapa janvini wanadai siasa za Kenya ni nzuri zaidi ya siasa za Tanzania.
 
Naona mpaka sasa kuna tofauti ya kura 210,000 kati Raila na Uhuru. Uhuru 56% na Raila 40% kati ya kura 1.3m mpaka sasa
 
Hii ngoma bado sana, maana matokeo ya kura ya vituo vingi bado, hivyo tuwe na subira
 
Wajaluo wanajulikana Kenya kwa kuwa na akili za kuzaliwa kuliko makabila mengine Kenya. Baba wa Obama naye alikuwa Mjaluo. Wanapenda wanawake sana na wenyewe pia wana ubaguzi hivyo sio kabila moja bali kuna ukabila kwa makabila yote kasoro makabila ya mpakani mwa Tanzania kama Masai na Taita ambao wametoka Tanzania. Wataita na wapare ni watu hao hao hata kiswahili na wanavyoonekana ni kama Watanzania
Unasahau kama wajaluo nao Tanzania wapo tena wengi tu, karibia Rorya yote ni wajaluo.
 
Pamoja na kufanya uchaguzi kwa amani lakini dosari kubwa ktk uchaguzi wa Kenya ni ukabila. wananchi wengi wamepiga kura kwa kuangalia makabila yao badala ya sera za wagombea.

Uhuru Kenyatta anaongoza kwa kura hadi sasa kwa kuwa tu anatoka kabila la Wakikuyu ambao ni wengi kuliko kabila jingine. Raila Odinga kabila lake la Wajaluo si kubwa kuweza kumuunga mkono na kushinda.

Mzee Jommo Kenyatta ambaye anadaiwa kupalilia ukabila nchini humo kwa kuwabeba Wakikuyu aliwahi kunukuliwa akisema "Jaluo Jinga Jeusi haiwezi ongoza Kenya"
Na hicho ndicho kinachomcost Odinga. KILA LA HERI KENYA.

We utakuwa ni Chadema tu mnalia maumivu kwamba Raila kama kitega uchumi hataweza kuwalipa bill ya kikundi chenu cha viroba kilichokuwa kinamkampenia. Halo halo mnalooooo!!!!!
 
wakenya wameendekeza sana ukabila,wao wanamchagua mtu kwa vile tu ni kabila la walio wengi,na wamesahau kwamba kuna matatizo mengi yanayo wakabili,
wamesahau kwamba mpaka hivi leo bado kuna wakenya wenzao ambao bado hawana makazi,na bado wanaishi kwenya mahema,kwasababu ya dhambi ya ukabila
 
Na tuombe Mungu angalau kwetu huku hata kama upo hauna nguvu kama kwa wenzetu.Nyerere alitusaidia sana,wale mnaopiga kelele eti chadema ukabila mmepotea hizo ni propaganda za mafisafi ccm.
 
Kura zenyewe ndiyo kwanza zimefika milioni moja tu tayari mmeanza kutoa utabiri. Yasijekuwa kama yale ya uchaguzi wa bongo, watu tukaanza kutajiwa vituo anavyoongoza Slaa kwanza tukajipa moyo, halafu ghafla ukafuata mfululizo wa CHADEMA chali. Tuwe wapole japo wahesabie hadi kura milioni nne kwanza ndiyo tunaweza kuanza kutabiri. Kwa sasa ni mapema mno.
 
ANGALIZO
* To win outright in the first round, one must obtain a majority (50%+1 of the national vote), plus 25% of the vote in at least 50% of counties, which were introduced to decentralize power to the local level and better facilitate people's representation.
** President is both head of state and head of government. The prime minister is charged with coordinating government business.

Bagamoyo can you plse gives us the recently results and how many votes counted up to ow.....
 
Bagamoyo can you plse gives us the recently results and how many votes counted up to ow.....

Mkuu,
Chungulia ktk hii linki kila baada ya nusu saa upate up-dates breaking news: LIVE: Uhuru opens early lead in race for Kenya president - CAMPAIGN NEWS - elections.nation.co.ke

01:20 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 776,930 (56.11%); Raila Odinga (ODM) 549,233 (39.70%); Mudavadi (UDF) 36,245 (2.61%) ; Kenneth (Eagle) 7,256 (0.53%); Kiyiapi (RBK) 5,227 (0.38%) Karua (Narc Kenya) 4,986; Dida (ARC) 3,157 from 4,481 of 31,981 polling stations reporting.

01:10 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 750,610 (56.09%); Raila Odinga (ODM) 531,070 (39.69%); Mudavadi (UDF) 34,984 (2.61%) ; Kenneth (Eagle) 6,961 (0.52%); Kiyiapi (RBK) 5,099 (0.38%) Karua (Narc Kenya) 4,830; Dida (ARC) 3,013; Muite (Safina) 1,465 from 4,370 of 31,981 polling stations reporting.

00:53 Garissa County Commissioner Maalim Mohamed refutes reports of gun attack in Tetu and Yathrib polling stations. Says tallying going on smoothly.

00:30 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 741,133 (56.08%); Raila Odinga (ODM) 524,754 (39.71%); Mudavadi (UDF) 34,573 (2.60%) ; Kenneth (Eagle) 6,894 (0.52%); Kiyiapi (RBK) 5,057 (0.38%) Karua (Narc Kenya) 4,795; Dida (ARC) 2,967; Muite (Safina) 1,452 from 4,318 of 31,981 polling stations reporting.

23:55 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 720,257 (56.11%); Raila Odinga (ODM) 514,789 (39.68%); Mudavadi (UDF) 33,737 (2.60%); Kiyiapi (RBK) 4,962; Kenneth (Eagle) 6,778 Karua (Narc Kenya) 4,711; Dida (ARC) 2,883; from 4,253 of 31,981 polling stations reporting.

23:00 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 702,880 (56.02%); Raila Odinga (ODM) 499,621 (39.78%); Mudavadi (UDF) 32,666 (2.60%); Kiyiapi (RBK) 4,823; Kenneth (Eagle) 6,484 Karua (Narc Kenya) 4,548; Dida (ARC) 2,813; from 4,111 of 31,981 polling stations reporting.

22:50 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 695,671 (56.14%); Raila Odinga (ODM) 491,895 (39.69%); Mudavadi (UDF) 31,879 (2.57%); Kiyiapi (RBK) 4,762; Kenneth (Eagle) 6,404 Karua (Narc Kenya) 4,499; Dida (ARC) 2,772; from 4,111 of 31,981 polling stations reporting.

22:40 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 690,062 (56.19%); Raila Odinga (ODM) 487,013 (39.66%); Mudavadi (UDF) 31,437 (2.56%); Kiyiapi (RBK) 4,712; Kenneth (Eagle) 6,347 Karua (Narc Kenya) 4,467; Dida (ARC) 2,742; Muite (Safina) 1,334 from 4,025 of 31,981 polling stations reporting.
 
Back
Top Bottom