Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Uhaya huo mumeuona baada ya kagera sugar kurudishiwa point 3 zao?hivi mungekuwa nyie Simba ndio mumenyang'anywa 3 mungekubali kweli?!

Mungewafunga Kagera sugar uhaya musingeuona!!
TFF ilitoa,TFF imetwaa
 
Hawa wahaya wote bora, idi amini angewachukua huko Uganda
 
Thibitisha kwa kutaja majina. Wacha kukariri uvumi wa mitaani.
 
Hata timu za Taifa jingine zikija Tanzania zinafikia hotel ya mhaya (D Mage Hotel) kinondoni

Jamal Malinzi
 
Tukianza na Malinzi, kwani alichaguliwa na Wahaya kuwa hapo!?
pia tukipata hayo majibu tuelezeni ni timu gani kutoka kwenye nchi zilizo nzfzsi 20 za juu katika soka ziliwahi kuzawadiwa points tatu timu shindwa badala ya kuiadhibu timu iliokosea kwa kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano.
 
Ni kweli mkuu uyanga na usimba ni tatizo kwenye soka letu, lakini katikati ya shida hiyo ukiongezea ukabila tatizo linakuwa kubwa zaidi. jamaa wajifunze kufanya kazi na makabila mengine
Hamuwezi kuwaondoa? Kama hamuwezi tulia mnyolewe. Acha kelele.
 
Acha kupotosha, Lufunga hakuwa na kadi 3 ktk msimu mmoja bali moja ya msimu uliopita, na kwamba kwa mujibu wa kanuni hizi msimu ukiisha mnaanza upya kadi zote zinafutika
 
Attachments

Hamuwezi kuwaondoa? Kama hamuwezi tulia mnyolewe. Acha kelele.
Tutawaondoa kwa hoja, tukishindwa tutamuondoa malinzi mwenyewe na wale aliowaweka kama yeye alivyomfagia Angetile Osiah
Hamuwezi kuwaondoa? Kama hamuwezi tulia mnyolewe. Acha kelele.
Tutawaondoa kwa hoja, tukishindwa tutamuondoa malinzi mwenyewe na wale aliowaweka kama yeye alivyomfagia Angetile Osiya
 
Uhaya huo mumeuona baada ya kagera sugar kurudishiwa point 3 zao?hivi mungekuwa nyie Simba ndio mumenyang'anywa 3 mungekubali kweli?!

Mungewafunga Kagera sugar uhaya musingeuona!!
TFF ilitoa,TFF imetwaa
Acheni ushabiki, huu Uzi ni wa mwaka 2013, umekaa humu karibu miaka minne. Mgogoro wa simba na kagera ni wa mwaka huu sasa sijui unaingiaje humu. Tatzo la watanzania wengi hatupendi kua wakweli tunapenda kusukumwa na mapenzi au ushabiki
 
Safi sana.
 
Amejaza wahaya, hata dili la nyasi bandia lilipotokea akaweka Bukoba!!!!! Kiwanja cha tenisi pia nasikia pia kiko Bukoba.

Yaani kiongozi wa kitaifa lkn kinachotangulia ktk akili yake ni Bukoba kwanza!
Walibezwa sana Na wanaJF kwamba hawajengi kwao
Sasa ndio tutakoma.
Bukoba oyeeeeeeeee
 
Acheni ushabiki, huu Uzi ni wa mwaka 2013, umekaa humu karibu miaka minne. Mgogoro wa simba na kagera ni wa mwaka huu sasa sijui unaingiaje humu. Tatzo la watanzania wengi hatupendi kua wakweli tunapenda kusukumwa na mapenzi au ushabiki
Huo uzi umeunganishwa tu...kuna uzi wa juzijuzi tu hapa sema moods wameuunganisha na wa zamani kwasababu maudhui yanafanana!!Elewa basi
 
Wewe kama si mkabila ulijuwa je acha huwo ujinga kikubwa kazi nyie ndio wale wale hata kwenye siasa ukabila nyambafu tunaongea ukabila karne hii kimya shiiiiiiih
Hacha majibu mepesi katika hoja au shutuma nzito kama hizi.Sehemu yyote iliyojaa watu wa kabila moja ni tatizo yatupasa kufanya uchunguzi katika hili na kulaani mambo au tabia kma hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…