Ukabila upendeleo mahakama(kitengo cha uhasibu)

Hili mwanangu linatisha ingawa hujatoa source na utafiti. Ila kwa jina tu naanza kukubaliana nawe si kwa vile ni mkabila la hasha. Natumia uzoefu wangu kuwa kwenye ofisi akiwapo Kimaro, Oluoch, Tiibuza, Mwakasege, Masanja na Mwita ni rahisi kutabiri kitakachofuata. Sijui kwanini watu hawa wanaoyaona makabila yao kuwa bora kuliko wengine wana kigonjwa cha ukabila na ngono. Huenda wanadumisha mila. Wote wana sifa ya kupenda kanywaji na ngono na kupendeleana. Anyway baba yenu nawajua watoto wangu. Mwenye malalamiko aje nimfumulie kila kitu.
 
Hayo unayosema ni ya kweli,kuna ubaguzi sana mahakama wahaya ndio first class
 
Hii ni case au malalamiko?
 
nakuomba mh. othman chande fuatilia hili suala.najua utalifuatilia tu hili suala na kitaeleweka.
 
nakuomba mh. othman chande fuatilia hili suala.najua utalifuatilia tu hili suala na kitaeleweka.
Mwenye namba yakre ya mkononi anipim pliz, naprint hii kitu, nampigia simu na kisha naanza kumsomea ili ajue watu wanajua mengi.
 

anawapendelea sana wakristo huyo chief
 
Kuna wahaya wangapi ambao hawana vigezo na wamewekwa hapo?Kwani chief accountant ndio muajiri?Usichanganye kilio chako ambacho kinaweza kuwa cha kweli na frustrations zako za maisha.Unaweza kuwa na jambo la maana lakini ukashindwa kuli-present kwa sababu tu ya kutumia blanket statements-anapendelea wahaya...unaweza kuambiwa taja mhaya mmoja asiye na vigezo na alipewa kazi hapo ukaishia kubwabwaja bila kutaja anyone.
 

swala sio qualification kinachozungumziwa ni upendeleo na uonevu,
 

wewe lazima utakuwa mhaya mwenzie,ndio maana unatetea ujinga
 
wewe lazima utakuwa mhaya mwenzie,ndio maana unatetea ujinga

Sawa ni kweli mi ni mhaya,kuna kosa?Turudi kwenye hoja...toa zako sio kusema ujinga bila kuonesha ujinga uko wapi.Ni ujinga kusema ujinga bila kuonesha huo ujinga na kujitofautisha.
 
Tanzania nakulilia kila mahali ukabila ukienda NSSF udini,ukitia mguu TRA ukabila na sasa Mahakamani kitengo cha uhasibu ukabila.
 
hizi tuhuma ni za kweli kabisa nimefanya uchunguzi wangu nimewahoji baadhi ya watumishi wa mahakama wanasema ni kweli na huyo chief Accountant alikuwa analindwa na Jaji Mtungi kipindi akiwa msajili wa mahakama
 


Wewe Muhaya acha kupindisha hoja!Mtoa mada hajasema kwamba wanaajiriwa kwa upendeleo,yeye ameongelea opportunities zinazotolewa kwa wafanyakazi priority wanapewa wahaya!Sasa Training ya kwenda Swaziland inauhusiano gani na qualification unazozisemea wakati labda wote ni wahasibu wa daraja moja? Safari za nje ya dar kweli wengine hawafai mpaka wahaya ndiyo wanaqualify zaidi kuzipata hizo nafasi?Hebu mjibu mtoa mada kwa point siyo kubwabwaja kwakuwa umeguswa.
 
Mimi mhaya,sijutii na najivunia kuwa mhaya....siwezi kuguswa na matusi ya kutukanwa kabila,nawadharau tu wote wanaojaribu kutupa sifa mbaya wahaya...if you can not go beyond the normal cliches and stereotypes of saying wahaya ni wabinafsi and other nonsense stuff nakuweka kwenye kundi la wajinga wasioweza kupambanua mambo to the extent of linking some vices to ethnicity without any premises or research.
 

kama kuna mtu ana number ya simu ya Hussein Katanga mtendaji mkuu wa makama au Jaji Mkuu Othman Chande anipe niwajulisha,nadhani hawajui malalamiko haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…