SHALOM,napenda kuchukua nafasi hii kukutarifu Bwana Hussein Katanga MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA,JAJI MKUU(Othman Chande)MHASIBU MKUU WA SERIKALI(Mrs Mtanda) dhumuni la waraka huu ni kukujulisha vitendo vya ubaguzi wa kikabila,kijinsia vinavyofanywa na MHASIBU MKUU fanuel tiibuza,hapa Mahakama kitengo cha Uhasibu
1.amekuwa akiwapendelea Wahaya wenzake,kama sio mhaya ktk kitengo cha uhasibu huna chako,mfano kama inatokea safari ya nje ya DSM,semina au session imprest lazima apewe Mhaya(jina tunalihifadhi)na tuna ushaidi wa kutosha pamoja na vielelezo huwa wanagawana chief accountant na mhasibu aliyepewa imprest
2.Huyu bwana ni mdhaifu kwa wanawake ktk kitengo cha uhasibu ukiwa mwanamke(sister DUU)unapewa kipaumbele hata kama performance yako kazini iko chini,imprest zote kama asipopewa Mhaya lazima atapewa mwanamke kutoka kitengo cha BILLs(record tunazo idadi ya imprest walizobeba)kwa kuwa ana uhusiano nao wa kimapenzi hta gazeti la mwananchi walishaandika
3.Huyu Bwana Fanuli Tiibuza amefanya uhamisho ktk kitengo cha Uhasibu,ukitizama wengi aliyowahamisha ni wale anaowachukia,sehemu muhimu amewaweka wahaya wenzake,pia amewaweka wahasibu ambao wako kwenye mtandao wake wa wizi wa pesa za mfuko wa Mahakama,vitengo hivyo ni(Final accounts,Examination,cash office,bills,Computer,High court)tunaomba watendaji wakuu wa mahakama wafuatilie swala hili si majungu,najua uwezo wa kutoa hawana kwani amekuwa akienda kwa waganga huko Tanga ili asihamishwe Mhakama,pia amekuwa akiwahonga baadhi ya watendaji Wizara ya fedha ili asihamishwe ushahidi tunao.
4.kuna swala la mafunzo ya nje ya nchi(Swazi na Mombasa)wahasibu ambao wamekuwa wakienda swazland wanajulikana kila mwaka ni hao hao wengine wanalipwa pesa hawaendi wanalala majumbani kwao ushahidi tunao,mhusika No 1 chief accountant
Tunakuomba Hussein Katangaukiwa kama Mtendaji mkuu wa MAHAKAMA ufuatilie malalamiko yetu kwa undani tumevumilia kwa muda mferu,kama utakumbuka tulipopewa barua za kuchagua kubaki mahakama au kuondoka idadi kubwa ya wahasibu pamoja na madereva walichagua kuondoka hapo mahakama kutokana na ubaguzi na upandeleo
Mhakam ilikuwa na Vote 19,40,18 na vote zingine ktk Mahakama za aridhi,kazi,na biashara cha ajabu vote zote zimefutwa imekuwa vote moja 40,mhusika mkuu wa hayo yote ni chief accountant kwa tamaa ya cheo ahodhi pesa zote ziwe chini yake.
Mwisho kabisa nawaomba Nationa audit,PCCB waje kufanya ukaguzi hapa Mahakam tangu aje Chief accountant Bwana Fanuel Tiibuza