Ukaguzi hadi vyooni!! Mulugo anaonyesha nini?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
kuna taarifa za ukaguzi wa kushtukiza uliofanywa na Naibu waziri wa Elimu Mulugo, kwa baadhi ya vituo vya mitihani ya darasa la 7!
Waziri kakagua hadi chooni.

Hii inadhibitisha ni jinsi gani huyu Mheshimiwa alivyomzuri kwenye wizi wa mitihani...
 
Hahahaha. Kwani mitihani inafichwagwa chooni? Na ukaguzi kafanya yeye mwenyewe au wasimamizi wa mitihani?
 
hahahaaaah! ach'a utani, kwaiyo naye alikuwa mwizi? duh! we nomaaa!
 
He used to do that.. teh teh
 
kuna taarifa za ukaguzi wa kushtukiza uliofanywa na Naibu waziri wa Elimu Mulugo, kwa baadhi ya vituo vya mitihani ya darasa la 7!
Waziri kakagua hadi chooni.

Hii inadhibitisha ni jinsi gani huyu Mheshimiwa alivyomzuri kwenye wizi wa mitihani...

Hahahahahaha, haya bana
 
Hahahaha. Kwani mitihani inafichwagwa chooni? Na ukaguzi kafanya yeye mwenyewe au wasimamizi wa mitihani?

kaingia mwenyewe!! huyu jamaa anafahamu mbinu za wizi..like he used that trick alivyokuwa mwanafunzi..
 
hahahaaaah! ach'a utani, kwaiyo naye alikuwa mwizi? duh! we nomaaa!

elimu yake ina utata sana..
ni naibu waziri aliyesoma kwa kudokoa dokoa tu!!
naibu waziri kukagua hadi toilet ni noma zaidi!!
 
mulugo njoo huku wanakusema, fanya faster watakimbia hawa na ukiwakamata futilia mbali vyeti vyao ili wajue to what extent we ni hataree
 
huo ukaguzi wake haukuwa na maana yeyote, kakagua shule ngapi katika shule zilizokuwa zinafanya mtihani tanzania nzima? hili tatizo la jk kuchagua huyu kuwadi wake kwa mary mwanjelwa kuwa waziri, hakuna kuwadi mwenye intellectual mindset.
 
mulugo njoo huku wanakusema, fanya faster watakimbia hawa na ukiwakamata futilia mbali vyeti vyao ili wajue to what extent we ni hataree

atadhubutu? ye mwenyewe vyeti vyake ni vya kununua!!
 
bandugu huyo ndo naibu waziri wa elimu..! So jipangeniii haters .....!
 
mulugo njoo huku wanakusema, fanya faster watakimbia hawa na ukiwakamata futilia mbali vyeti vyao ili wajue to what extent we ni hataree

kwani vyake navyo sivinatakiwa kufutwa
 
Back
Top Bottom