kuna taarifa za ukaguzi wa kushtukiza uliofanywa na Naibu waziri wa Elimu Mulugo, kwa baadhi ya vituo vya mitihani ya darasa la 7!
Waziri kakagua hadi chooni.
Hii inadhibitisha ni jinsi gani huyu Mheshimiwa alivyomzuri kwenye wizi wa mitihani...

kaingia mwenyewe!! huyu jamaa anafahamu mbinu za wizi..like he used that trick alivyokuwa mwanafunzi..
elimu yake ina utata sana..
ni naibu waziri aliyesoma kwa kudokoa dokoa tu!!
naibu waziri kukagua hadi toilet ni noma zaidi!!
mulugo njoo huku wanakusema, fanya faster watakimbia hawa na ukiwakamata futilia mbali vyeti vyao ili wajue to what extent we ni hataree
kwani vyake navyo sivinatakiwa kufutwa
like him... like you!!
sana tu, yani hapo anatumia experience yake soma hapa kashfa yake toka mwananchi. Lakini bado CCM inae tu!hahahaaaah! ach'a utani, kwaiyo naye alikuwa mwizi? duh! we nomaaa!