Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Habari za asubuhi wakulima wenzangu wa tumbaku. Mimi ni mkulima na pia nafanya biashara ya mazao yatokanayo na tumbaku Mkoa Tabora na Mpanda. Kwa Sasa tupo kwenye msimu wa soko la tumbaku Kama ratiba ilivyo. Kuna tatizo Sana kipindi hiki Cha upangaji wa madaraja kwakuwa Rushwa imetamalaki kwa maafisa toka kwa kampuni za ununuzi kwa kukandamiza madaraja kuwa ya chini.
Chombo Kama Takukuru kingekuwa na busara kingeingilia Kati kazi hii kwa Sasa Ila kutokana kuwa Wala Rushwa na yale tuliyofanyiwa na Taasisi hii mwaka 2019 pale Basanza Amcos Uvinza maafisa 3 wa Takukuru kutaka kupewa Tsh. 5,300,000/- na kupewa mzigo huo kupitia akaunti ya Bw. miti wa kipindi hicho Bw. Festo Kisha Jambo lililokuwepo kukaliwa kimya Hadi leo nazidi kuumia kichwa maana Deni lililetwa ndani ya bodi wakulima wakaumizwa kwa kukatwa madeni hewa Tsh. 100 kwa kila kilo itakayouzwana mkulima ilimlazimu kufidia hiyo 5.3 mil na inasemekana wote waliokula pesa hiyo wapo na wanakingiwa vifua na viongozi wao wa juu Kigoma na Dodoma kuhusu sakata hili.
Niombe DG Takukuru ashushe rungu kwenye hili ili wakulima tutuliwe mizigo hii kwa Nchi nzima mikia inakima zao hili Kuna umafia wa hatari tunaumia wakulima jamani. Nakumbuka Basanza Amcos tukikuwa tunachangia service Levy Hadi mil 600 kwa Halmashauri ya Uvinza Sasa hakuna kitu Tena mijizi imejaa Hadi wakulima wanakimbia na fukuto lililopo Basanza Amcos kwa Sasa ni kubwa DC Mlindoko alilijua hili kwa barua tuliyoipeleka kwake mwaka 2020 mwezi 4 Kama sijakosea akaahidi kushughulikia, DC Hanif analijua, DSO, Ocd, OCS Basanza, DED, afisa kilimo na Ushirika wote wanajua ambao ni watetezi wetu wanajua yote haya Ila msaada ulishindikana ndipo wajanja walipopewq kuchunguza wakatupiga 5.3 mil uchunguzi ukafa.
Au hao Takukuru wao ndo wapo juu ya Sheria hawaguswi????? Tunataka hela yetu turudishiwe kwenye akaunti zetu wakulima na Takukuru yenye watu weledi iundwe kusimamia hili la madaraja ya tumbaku watu wa ATT na Alliance one wanatuumiza.