Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende kuchkua kadi ya kuzaliwa mpya hafu akaape mahakamani kuukana ule umri wa mara ya kwañza.
Duh. Kama ni kazi ambayo ina Worthy afanye tu ivo kubadirisha mahakamani.Vipi kuhusu nida maana alipoanza kazi hakuulizwa document yoyote zaidi ya cv tuu
Duh. Kama ni kazi ambayo ina Worthy afanye tu ivo kubadirisha mahakamani.
Duh. Kama ni kazi ambayo ina Worthy afanye tu ivo kubadirisha mahakamani.
Yaani ukienda kula kiapo ata jina unawez kutoka Lee Jack ukaitwa Mwananchi MwemaNa umri ulikua ni 4 years different haitaendana na vyeti vyake vya darasani akiapa Mahakamani
Yaani ukienda kula kiapo ata jina unawez kutoka Lee Jack ukaitwa Mwananchi Mwema
Hakuna cha ndugu ni wewe. Sasa mkuu una tofauti gani na vyeti feki alowatumbua jpm?
Kuna umuhimu wa kukagua vyeti kila mwaka taasisi zote mpaka serikalini.
Kawaambie ukweli uwe huru waamue wenyewe kukuacha au wakufikuze.
Muhusika mkuu hapo niww mwenyewe.
ilamm chakukushauli hapo nikwamba umuhimu wanafasi yako hapo ndio utakupa kete yaushindi wa100%
kama inawezekana atengeneze cheti kipya cha kuzaliwa ,alafu ataenda NIDA kuomba kufanyiwa marekebisho ya mwaka wa kuzaliwa kwa kujaza fomu zao,mbona marekebisho huwa yanafanyika tu,maana anayejua umri sahihi wa mtoto ni mama.Na kwenye NIDA je na vyeti vya chuo
aliwahi kuanza shule,tatizo liko wapi sasa mkuuSawa mimi naongelea miaka aliomaliza chuo itakua mikubwa kuliko umri halisi