huwezi ukaweka mwanaume na gay kwenye sentensi moja
kwa hiyo mnataka kusema mashoga si wanamme?
Akiambiwa kuandika jinsia huwa wanaandika KE?
Wanamme bana, kila kibaya ni cha mwanamke.
kwa hiyo mnataka kusema mashoga si wanamme?
Akiambiwa kuandika jinsia huwa wanaandika KE?
Wanamme bana, kila kibaya ni cha mwanamke.
HiviHEART,gays ni wanaume?Namaanisha mwanaume kama yule aliyemzungumziaAsprin wakati fulan hivi!Yaani mwanaume anaeitumia jinsia yake ipasavyo anaweza kuwa kahaba,malaya na changudoa wakati huohuo?
umenena kongosho, loh
Hahahaha Kipipi kitamu kumbe somo lilikuingia na kulielewa eh? Orayt, come this way baby.....:lock1:Ikiwa mwanaume ndiye yule pekee aliyeelezewa na babu Asprin..........ni wangapi watakuwa wanaume?? Are you??
Yaani wanaume wenzenu wakitenda makosa .......basi mwawageuzia upande wetu, inamaanisha kuwa wanaume hawana mabaya hivyo yote yamfaa mwanamke tu???
Dhana kama hizi zinawafanya mshindwe kujifunza/kujirekebisha na kubaki mkimtazama mwanamke kwa jicho la tuhuma!!
Bibie HEART... nenda kafanye homework yako vizuri ili uweze kutofautisha wafuatao:Bila ubishi yaaani,kwenye kumbi za starehe ni wengi mno...mi mwenyewe nshawashuhudia. Wanafanya vyote hivyo..wanajichubua na kubadilisha hadi miondoko ya kutembea...
In red, what 'type' of men are those?Bibie HEART... nenda kafanye homework yako vizuri ili uweze kutofautisha wafuatao:
Mwanaume - mvulana
Mwanaume - gumegume
Mwanaume - Sharobaro
Mwanaume wa kiume..... yaani mwanaume!
Mwanaume mwanaume hawezi kupumuliwa mgongoni wala kumpumulia mwanaume mwenzie mgongoni, PERIOD!!!