Ukaimu wa nafasi (acting)

kibebii

Member
Joined
Nov 5, 2009
Posts
84
Reaction score
15
Habari za leo wana JF,
Naomba msaada wa juu ya sheria mpya inasema nini kuhusu kukaimu nafasi ya mtu naje una haki gani katika hiyo nafasi interms of salary and other benefits, nimejaribu kupitia hii sheria mpya ila sioni ni wapi ipo na pia calculation zake zikoje,
Msaada wenu unahitajika Pleeeeeeeeeeees!
 
Mi siko conversant sana na sheria mpya, lakn all in all inategemeana na rank.Kwa mahali ninapofanyia kazi mimi ukikaimu nafasi ya bosi wako uko entitled kupata 75% ya mshahara wa bosi, pamoja na allowances zote chini ya nafasi ya mkubwa huyo.
 
Mi siko conversant sana na sheria mpya, lakn all in all inategemeana na rank.Kwa mahali ninapofanyia kazi mimi ukikaimu nafasi ya bosi wako uko entitled kupata 75% ya mshahara wa bosi, pamoja na allowances zote chini ya nafasi ya mkubwa huyo.
Asante PJ,
Nilichelewa kushukuru nikisubiri michango zaidi kutoka kwa wadau wengine,
Mungu akubariki kwa kuonesha njia, ila bado inabidi kufanya homework ya kujua specifically ni kifungu gani cha sheria kinatoa nafasi hiyo incase sheria za specific org (administative/ human resource manuals) hazikusema chochote
Ubarikiwe
 
Standing Orders For the Public Service, 2009 (3rd Edition) (Published by Authority pursuant to s. 35 (5) of the Public Service Act, Cap. 298 (R.E. 2002))​

L.15: Posts Carrying Acting Allowance:
1. Acting Allowance is payable to a public service servant authorized to act in the Superlative Substantive (SS) Post. SS posts shall include:
(a) in the case of a Ministry/ Independent Department, Assistant Director and above or their equivalent,
(b) in the case of Region, Assistant Administrative Secretary and above,
(c) in the case of District, District Administrative Secretary/ and
(d) in the case of Local Government Authority, Head of Department and above.
2. Any public servant who is required to act in a post carrying a salary in the Superlative Substantive (SS) salary scales shall be granted an acting allowance at the rate of the DIFFERENCE BETWEEN his substantive salary and that of the post in which he so acts. It is emphasized that the payment of acting allowance shall be confined to posts carrying salaries in the Superlative Substantive (SS) Salary Scales.


L.16: Discretion of the Chief Secretary:
The Chief Secretary may authorize the payment of acting allowance to a public servant required to act in a post other than a post carrying a Superlative Substantive (SS) Salary Scales if he considers that circumstances justify such an arrangement.


L.17: No Acting Allowance if in Receipt of not less than the Minimum or Fixed Salary Attached to the Acting Post:
When a public servant's substantive emoluments are the same or more than the minimum or fixed salary attached to the office in which he is acting, he shall not receive any acting allowance.


L.18: Periods for which Acting Allowance is Paid:
(1) Acting Allowance shall be drawn from the date in which the public servant officially takes over the duties of his acting appointment up to the date preceding that on which he officially hands over such duties.
(2) Acting Allowance shall be paid to a public servant who acts for not less than 14 days consecutively, in a post which is allowed for acting allowance.
(3) In the case of absence due to travel on duty, illness or any form of leave, not exceeding 14 days, there shall be no need for an acting appointment and no acting allowance shall be paid.
(4) Where, however, owing to the fact that by law or regulation certain matters can be dealt with only by the public servant holding a senior post or by public servant formally acting in that post, an acting appointment may be made and an appropriate allowance paid. The decision whether an acting appointment is necessary or desirable in such a case shall rest with the Chief Secretary.
 
Mtoa hoja, kibebii, hasemi kama ameridhika na jibu au la!
 
Mtoa hoja, kibebii, hasemi kama ameridhika na jibu au la!

Buchanan! I salute U!
nimejifunza,
ila naomba msaada zaidi, hapa naona ni standing order for Public service vipi watu wa private sectors eg NGOs?
Nashukuru sana kwa msaada wako. Samahani kuchelewa kujibu nilijipa mapumziko kipindi hiki cha sikukuu!:smile-big:
 

Kwa upande wa Private Sector, inategemeana na mkataba wako na mwajiri wako, hakuna Sheria inayo-regulate mafao yahusuyo kukaimu wa sekta binafsi, as far as I know!
 
Kwa upande wa Private Sector, inategemeana na mkataba wako na mwajiri wako, hakuna Sheria inayo-regulate mafao yahusuyo kukaimu wa sekta binafsi, as far as I know!

Asante Mkuu!
Imekamilika na imetulia, ubarikiwe
 
Buchanan,

Mkuu, hili lilikuwa jibu zuri sana.... nilikuwa natafuta majibu kuhusu acting allowance kupitia Google ikanileta hapa! Thanks !

Nina swali la nyongeza:
Definition ya SS posts naona zinaishia kwenye maeneo manne tuu, ie from the Ministry level to the Local Govt level.
Je, kwenye level ya mashirika na taasisi za serikali ni nafasi zipi zinakuwa considered to be SS Posts?

Natanguliza shukurani.
 
Last edited by a moderator:
Hata Mimi nahinja majibu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…