chardboy77 Member Joined Aug 5, 2013 Posts 53 Reaction score 5 Jun 9, 2015 #1 Naombeni msaada ndugu zangu, meno yangu upande mmoja umekumbwa na ukakasi zaidi ya wiki mbili sasa. Hii ni nini na je kuna tiba ya hili tatizo?
Naombeni msaada ndugu zangu, meno yangu upande mmoja umekumbwa na ukakasi zaidi ya wiki mbili sasa. Hii ni nini na je kuna tiba ya hili tatizo?
my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,397 Jun 9, 2015 #2 tumia dawa ya meno kupga mswak
chardboy77 Member Joined Aug 5, 2013 Posts 53 Reaction score 5 Jun 9, 2015 Thread starter #3 my name is my name said: tumia dawa ya meno kupga mswak Click to expand... mkuu mswaki napiga kila siku mkuu, na tatizo lipo pale pale
my name is my name said: tumia dawa ya meno kupga mswak Click to expand... mkuu mswaki napiga kila siku mkuu, na tatizo lipo pale pale