Kitakochotekea hapo hata sisemiMashimo mengine mzee wa eden akikuta anaweka makazi, ole wako uchanue bila kuangalia chini
[emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona unafukua tu[emoji115] [emoji3]
Mashimo mengine mzee wa eden akikuta anaweka makazi, ole wako uchanue bila kuangalia chini
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakama ukiwa kidume
basi huenda mzee wa eden
akapambana na nyoka mwenzie.
vuta n' kuvute.....
Hahahahaaa! Tulipokuwa shuleni tulisema "tunakata gogo kwenye open roof"!Wanasema kukata gogo porini kuna raha yake
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nimeipenda hiiHahahahaaa! Tulipokuwa shuleni tulisema "tunakata gogo kwenye open roof"!
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji1545][emoji1548]Mawazo yako, dah, Mshana Jr hayatabiriki