"ukame"" maanake ninini???

Hiyo ndio hatari ya ukame huyu mbwa kaamua kumcameruni jogoo wa watu.
 
mkuu hiyo ni live hali imekuwa siyo imagine watu tunagaiana hamu hivi si tutawapanda wale nyoka wotte pale pori la lugalo
 
Njie huyo jogoo mchunguzen utakuta ana hormone za mtetea,ametulia utasema ananyolewa!
 
chagua kuishi TANGA chagua kupenda COAST YUNIIOOOONIIIIIIIIIIII
 
Mapepo yawewavamia paka wanyama.
 
aiseee kama si photoshop basi hali itakuwa inatisha.
hii dhambi inaonekana hata shetani amewakimbia kabisa kaaamua waamue wenyewe yeye ahusiki kam zile za wakina naniino vidole juu kazi ipo
 
ila huyu jogoo nina mashaka nae.... Mbona katulia tuliiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…