CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hili litawezekana kama wapiga deal, watakubali, Ama sivyo tutaendelea kuona gesi ni kwa wneye unafuu kidogonjia pekee ya kuzuia haya ni kuhakikisha gas na umeme vinashuka bei ili watu waache kutumia kuni na mkaa. hilo likitokea tutakufa kama wadudu maana kilimo chetu ni duni sana.
njia pekee ya kuzuia haya ni kuhakikisha gas na umeme vinashuka bei ili watu waache kutumia kuni na mkaa. hilo likitokea tutakufa kama wadudu maana kilimo chetu ni duni sana.
Kukabiliana nayote nilazima tubadilishe mfumo wa io ngozi wa Nchi yetu kutoka utawala bora hadi Kuwa na uonhozi bora Kwa kuifuta Kabisa CCM 2015
Najiuliza endapo ukame ulio ikumba Califonia ukitokea huku kwetu itakuwaje? Make kuna Ukame wa kufa mtu ambao haujawahi tokea Calfonia na kila kitu kimesimama na hakuna kinacho fanyika
Kwa Tanzania inabidi kuchukua hatua make nahisi ikitokea huku hakuna jiwe litakalo salia, juu ya jiwe jingine,
Ww umefanya nine kwenye nafasi yako