Ukanda wa pwani kuna laana gani?

Mbona kama mnaandika ki shabiki?
Huku ughaibuni hayo mambo yanafanyika kwa uwazi kabisa. Siku tumefika kuanza masomo hapa uholanzi, moja ya mambo tuliyokutana nayo ni kuelezwa kuhusu haki ya Mashoga. na kama unataka kurudi kwenu mapema basi korofishana na hao jamaa.
hayo mambo hayana uhusiano na pwani wala nin i!! ni laana tu za watu wenyewe.
 
Mliishije maana walikuwa wakipeana ma lovedave live
Duh hiingumu
 
Majini Yao,yanahusikaje na Ushoga
 
Ukanda wa pwani ya Afrika mashariki umelaaaniwa, huku ndio kuna mashoga wengi na ushoga wao wanaufanyia hadharini tena wakijigamba kwa kujiita anti.
Hii laana inasababishwa na nini?
Siyo ushoga tu,kuna kila kitu mbona husemi?? Biashara na matajiri,uwekezaji na maendeleo,wanawake wazuri etc.unaona kuna mashoga wengi sababu wanatoka huko mbwinde kuja mijini kutafuta soko kama wengine mlivokuja kutafuta maisha kwa namna zenu!
 
Ukanda wa pwani ya Afrika mashariki umelaaaniwa, huku ndio kuna mashoga wengi na ushoga wao wanaufanyia hadharini tena wakijigamba kwa kujiita anti.
Hii laana inasababishwa na nini?
Uongo ukipiga calculation mashoga wapo weng bara ukilinganisha na znzbar
 
Siyo ushoga tu,kuna kila kitu mbona husemi?? Biashara na matajiri,uwekezaji na maendeleo,wanawake wazuri etc.unaona kuna mashoga wengi sababu wanatoka huko mbwinde kuja mijini kutafuta soko kama wengine mlivokuja kutafuta maisha kwa namna zenu!
 
Ouongo jomba idadi ya machoko nying ipo bara kuliko zenj
watu inaonekana wanapenda sana hayo mambo , zenj imekuwa style yaani hata vitoto vido unavikuta vinatukana na matusi makubwa ni kama haya unaf*********, Mse********** yaani unabaki mdomo wazi huna la kufanya
 
Not now
 
Museveni alishindwa kupitisha ile sheria kwa sababu watu wa haki za binadamu walilalamika kuwa hiyo ni haki ya msingi na pia nchi za magharibi nazo ziliingilia kati. Lakini kiukweli jambo linahitaji kufanyiwa kazi ili kulitokemeza
Not now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…