LUKAMA
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,117
- 1,343
Yaani nipo mkoa x wa pwani ya Tanzania watu wahuku ni hatari kwaumbea, kupigana na kurogana, watu hawa wote ni majirani zangu na wate waabudu dini ya mudi.
Me nimejitokea mkoani huko ambako kila mtu hana time na mwenzake, wapo vizuri kwa kulazimisha urafiki ili wapate kukusema vizuri na kukugombanisha.
Ukishakua rafiki wao wanaanza kukufundi ushirika wa kwenda kwa waganga daa ikifika hatua hii huwa nachoka kabisa.
Afu dini hii ya Mudi na ushirika mbona vinaenda sambamba sana au mimi ndo na fikiri vibaya hapa nilipo nisha hama nyumba ya kwanza mama mwenye nyumba alikuwa analazimisha urafiki kwa mke wangu na wife nae hakutaka hayo mambo akawa anatuchukia nikaona isiwe tabu nika hama.
Hapa nilipo wa kristo tupo kama wa 3 hatuna hayo mambo na wote tuna toka mkoani na wenyewe wapo 3 ni washirikina hatari kitu kidogo tu wamenda kwa mganga.
Note: povu linaruhusiwa.